[Audio & Video] Dizasta Vina – The Lost One

Comment

Msanii mwenye uwezo mkubwa kwenye game ya Hip Hop Tanzania, Dizasta Vina ameachia wimbo wake mpya unaoitwa ‘The Lost One’.

Huu ni mwendelezo wa utulivu wa kuandika kazi zake na kutumia midundo sahihi katika utamaduni wa Hip Hop.

Sikiliza & Download “Dizasta Vina – The Lost One” Hapa chini;

DOWNLOAD MP3

Angalia Video ya “Dizasta Vina – The Lost One” Hapa chini;

Up Next

Related Posts

Discussion about this post