AUDIO: Sababu za M/Kiti kamati ya Wizara ya Viwanda kujiuzulu leo


Leo March 20, 2017 aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya viwanda, biashara na mazingira Dkt. Dalaly Peter Kafumu amemuandikia barua ya kujiuzulu nafasi hiyo ya Uenyekiti Spika wa Bunge Job Ndugai kwa madai kuwa anahitaji muda wa kupumzika na kuwatumikia wananchi wa jimbo lake. Dalaly Kafumu amekubali kukaa kwenye exclusive interview ya millardayo.com na kuzitaja sababu […]

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA