AUDIO: Polisi Dar wametangaza kumtafuta Masanja Mkandamizaji

August 17 2016 Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam imewahoji wasanii wanne wa kundi la sanaa ya uigizaji Orijino komedi akiwemo meneja wao Seki kwa tuhuma za kuvaa sare za polisi kwenye harusi ya msanii Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja. Millardayo.com imempata kwenye exclusive interview kaimu kamishna wa jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es […]

SOMA NA HII:  Taarifa kutoka TANESCO kuhusu mfumo wa ununuzi wa umeme kwa njia ya LUKU

COMMENTS

WORDPRESS: 0