Home Nyingine Angalia Vitu 7 Ambavyo Wanaume Wa Kweli Hawavifanyi

Angalia Vitu 7 Ambavyo Wanaume Wa Kweli Hawavifanyi

0
0

Hebu tuwe wakweli hapa, siyo tu wanawake ambao wanaweza kuwa wasumbufu, baadhi ya wanaume ni wasumbufu na wakakosa heshima pia.

Baadhi ya wanaume wanashindwa kujifunza jinsi ya kukua na kosonga mbele, hawaelewi umuhimu wa kuwa na heshima, hawaelewi inamaana gani kuwa mwema, jasiri  na mwenye upendo, Kitu pekee wanachojali ni kuhusu wao wenyewe. Wana viburi, Wanajiona wao tu kiasi cha kutojali ni nani wanamuumiza ama wanaweza kumuumiza njiani.

Na kwasababu ya hili, wanafanya iwe ngumu kwa mtu kupata mwanaume wa kweli. Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo mwanaume wa kweli hawezi kuvifanya.

Mwanaume wa kweli hawezi ruhusu hofu itawale maisha yake.

Mwanaume wa kweli hawezi kuepuka makosa kwa sababu anajua makosa yapo kufanya uwe na nguvu na kurekebisha.

Hawahifadhi chuki/Kinyongo.

Hawafanyi vitu kwa kuhofia watu wengine.

Wanaume wa kweli hawa-idealise wanawake.

Hawakimbii matatizo.

Hawatishiki

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *