Sambaza:

Mobdro ni “video Streaming app” ya bure unayoweza kuitumika kuangalia “Live TV shows” unazozipenda. Unaweza pia kutazama filamu mpya, video na vituo vingine maarufu.

 

Mobdro Online TV ina ubora wa video na uwezo wa kufanya vizuri kwenye video za HD mtandaoni. Unaweza kupakua Mobdro.apk 2017 kwenye kifaa chako na kufurahia kustream sinema, video, na vituo vya habari maarufu zaidi.

Unaweza kutazama vipindi ulivyo vikosa kwenye TV kutokana na mihangaiko ya maisha kupia “youtube video Streaming” ya Mobdro bure.

Miundo tofauti ya video inapatikana kwenye Mobdro apk kwajili ya Android na unaweza kufurahia kuangalia katika simu ndogo ama kubwa za android.

SOMA NA HII:  Jinsi ya kuchagua rangi ya Website au Logo

Angalia uchambuzi wa kitaalam kuhusu Mobdro 2017 kujua zaidi kuhusu app hii. Je Mobdro ni salama kuitumia kuangalia video mtandaoni? Ndiyo, bila shaka, inakufaa.

Programu ya Mobdro kwajili ya Android inaruhusu watumiaji kupakua bila kikomo video za HD, sinema mtandaoni bila malipo. Huna haja ya kuwa na wasiwasi kuhusu ukubwa wa faili ya video yako mtandaoni , ni kwasababu, Mobdro apk 2017 huongeza kasi ya kushusha video zako na kuongeza utendaji.

Unaweza kutumia programu hii kwenye kifaa chako cha smartphone kama Samsung, Sony, HTC, Nokia, Lumia, Lenovo, Blackberry, Leeco, Motorola, Asus, Google Pixel na Micromax.

SOMA NA HII:  Jinsi Data Zinavyohifadhiwa kwenye Diski Kuu na Umuhimu wa Kufanya Defragmentation

Furaha kutazama video zote zaburudani unazozipenda bila malipo.

Unaweza kuishusha kwa kubonyeza hapa

Sambaza:

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

This article has 2 comments

    • Mediahuru Reply

      mkuu kwenye makala hii tumeeleza sifa zote za MOBDRO na tumeweke link ya tovuti ya mobdro ambapo unaweza kupata ufafanuzi zaidi

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako