Nyingine

Amri mpya ya Trump yazuiwa Marekani

Baada ya Amri yake ya mara ya kwanza kupingwa na Mahakama, Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine tena amekutana na vizingiti katika juhudi zake za kupinga sheria za uhamiaji dhidi ya mataifa yenye Waislamu wengi duniani.

Pingamizi hilo limetoewa na hakimu wa Mahakama Kuu iliyoko Hawaii. Amri hiyo kuu ya Rais kwa kiasi fulani, ilikuwa imewazuia wakimbizi na wahamiaji kutoka mataifa kaadhaa kuingia Marekani.

Bwana Trump ameelezea uamuzi huo wa mahakama, kuwa wa kushangaza na ambao haujawahi kufahamika awali, na ameapa kupeleka kesi hiyo hadi katika mahakama ya juu zaidi.

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *