Sambaza:

Barabara mpya imefunguliwa nchini China!

Wanzhou-Lichuan highway, inayounganisha Wanzhou huko kusini magharibi mwa China na Lichuan, ambayo iko katika jimbo la Hubei huko China, imeanza kufanya kazi siku ya jana.

Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 52 ilianza kujengwa mwaka 2014 na imeundwa kutumika kwa kasi ya kilomita 80 kwa saa.

Angalia picha zaidi hapa chini: –

Barabara

Unafikiri itachukua miaka mingapi kwa Tanzania kuwa na uwezo wa kujenga barabara kama hii?

Sambaza:

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako