Nyingine

Alpha Blondy vs Lucky Dube nani mkali zaidi katika reggae?

Mjadala wetu leo hii unawahusu zaidi wadau wa muziki wa reggae, naomba tutoe maoni yetu kuhusu nani mkali zaidi ya mwenzake kati ya magwiji hawa wawili wa reggae, Alpha Blondy vs Lucky Dube .

Hizi ni baadhi ya nyimbo za Alpha Blondy:

Alpha Blondy – Wish You Were Here

Alpha Blondy – Zenith Paris

Alpha Blondy – Rasta Bourgeois


Hizi ni baadhi ya nyimbo za Lucky Dube:

Lucky Dube – Different Colours


Lucky Dube – Slave

lucky dube – together as one

 
Wote ni wanamuziki wakubwa barani  Afrika wameuza sana kazi zao, tuambie nani ni mkali zaidi ?

Toa mtazamo wako unamkubali nani na sababu za kumkubali.

Soma na hizi

2 thoughts on “Alpha Blondy vs Lucky Dube nani mkali zaidi katika reggae?”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close