Nyingine

Alikiba kakabadhiwa Tuzo yake ya MTV EUROPE

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba leo Johannesburg South Africa amekabidhiwa tuzo yake ya MTV EURO aliyoshinda baada ya tuzo hiyo kutolewa kimakosa kwa Mwimbaji staa wa Nigeria Wizkid.

“I would like to thank God for the continuous blessings, my family, my management and the fans. I love you all endlessly !!#MTVEMABestAfricanAct #KingKiba,” ameandika Kiba baada ya kupewa tuzo hiyo.

November 2016  tuzo ya Alikiba ilikuwa na utata badaa ya awali kupewa Wizkid, MTV EUROPE walitoa tamko kwamba tuzo hiyo aliyestahili kupewa alikua ni Alikiba ambaye mpaka muda wa mwisho kwenye utoaji tuzo ndio alikua anaongoza kwa kupigiwa kura nyingi na Mashabiki mitandaoni..

Baada ya taarifa rasmi ya MTV EMA, kuhusu ushindi wake, Alikiba aliandika:

Namshukuru MUNGU Na Shukrani kwa MTV kwa heshima hii, nina furaha sana kwa ushindi huu, ni heshima kwangu na nchi yangu Tanzania 🇹🇿 pamoja na East Africa nzima kiujumla. Shukrani sana kwa familia yangu, management yangu na mashabiki zangu wote – nawapenda sana #bloodfanswaalikiba #Kajiandae #KingKiba

Aliongeza,

“Ningependa pia kuchukua nafasi hii kushukuru vyombo vya habari vyote, watangazaji, waandishi na wadau wote wa sanaa kiujumla kwa kunisapoti katika kazi zangu.

Lastly, nawashukuru wasanii wenzangu wote mlionipa ushirikiano na kuthamini kipaji changu kwa kuniombea kura zilizonipa ushindi. Ushindi wangu ni ushindi wa sanaa yetu sote. Proudly Tanzanian 🇹🇿
MUNGU awabariki sana. #TupoPamoja #Kajiandae #KingKiba

Namshukuru MUNGU Na Shukrani kwa MTV kwa heshima hii, nina furaha sana kwa ushindi huu, ni heshima kwangu na nchi yangu Tanzania 🇹🇿 pamoja na East Africa nzima kiujumla. Shukrani sana kwa familia yangu, management yangu na mashabiki zangu wote – nawapenda sana#bloodfanswaalikiba #Kajiandae#KingKiba”

Soma na hizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close