Alichokiandika Profesa Kitila Mkumbo baada ya kuteuliwa na Rais

Comment

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli,tarehe April 4, 2017 alifanya uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji ambapo alimteua Profesa Kitila Alexander Mkumbo kutoka ACT Wazalendo kuchukua nafasi ya Mhandisi Mbogo Futakamba aliyekuwa kwenye nafasi hiyo ambaye amestaafu.

Kupitia ukurasa wake wa twitter Prof. Mkumbo ametoa shukrani kwa Rais Magufuli kwa kuandika maneno haya:

“Namshukuru mhe Rais kwa heshima aliyonipa katika kutumikia nchi yetu katika nafasi ya Katibu Mkuu. Mungu anisaidie.” – Kitila Mkumbo.

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!