Nyingine

Alichoandika Zitto Kabwe baada ya kutumbuliwa kwa Nape Nnauye

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo amefanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri ambapo sehemu ya mabadiliko hayo ni kamteua Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo.

Baada ya mabadiliko hayo,mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter ameyaandika haya:

Nimezungumza na mbunge wa Mchinga Nape kuthibitisha kuwa Ni Kweli ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu.

SOMA NA HII:  Marufuku Matumizi ya Takwimu za Kampuni ya Geopoll - Dkt. Mwakyembe

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.