Alichoandika Ridhiwan baada ya Mama Salma kuteuliwa kuwa mbunge

Mbunge wa Jimbo la Chalinze na mtoto wa Rais mstaafu wa Tanzania wa awamu ya nne, Ridhiwani Kikwete amemuandikia ujumbe...

1 0
1 0

Mbunge wa Jimbo la Chalinze na mtoto wa Rais mstaafu wa Tanzania wa awamu ya nne, Ridhiwani Kikwete amemuandikia ujumbe wa pongezi mama yake Mama Salma Kikwete kuonesha amefurahia mama yake kuteuliwa kuwa mbunge na Rais Magufuli.

Ridhiwani ameyaandika hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram:

“Umekuwa mtetea wa haki za wanawake na usawa wa kijinsia, umewezesha wasichana kupata elimu.Wewe ni Mwanamke wa Shoka.Hongera sana kwa uteuzi‬. Imani sasa umepata sehemu ya kuwezesha mapambano kuwa sheria. Mungu akutangulie Mama yangu , Mheshimiwa Mbunge. Hongera tena.”

In this article

Join the Conversation