Nyingine

Alichoandika Nape Nnauye Kuhusu Yeye na CCM

Leo Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia tiketi ya CCM Nape Moses Nnauye ametumia ukurasa wake wa twitter kuandika ujumbe kuhusu CCM, lengo likiwa ni kuweka kumbukumbu sawa kwa watu kuhusu CCM.

“Watu wengi wanaamini nimeisaidia sana CCM lakini ukweli ni kuwa CCM imenisaidia sana mimi kuliko mimi nilivyoisaidia, CCM ni SHULE.

“Bahati niliyopata kwa kuwa muenezi CCM ni kufanya kazi na ndg Kinana ni mwema, mzalendo, hodari, uwezo mkubwa, upendo na maarifa mengi” Ameandika Nape

SOMA NA HII:  Kwa nini Mwanamke Anaweza Kuweka Picha Zake Za Uchi Kwenye Simu Yake? - Uzoefu Binafsi

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.