Home Nyingine Alichoandika Jerry Muro baada Pluijm kuwa kocha wa Singida United

Alichoandika Jerry Muro baada Pluijm kuwa kocha wa Singida United

0
0

Aliyekuwa afisa habari wa Yanga Jerry Muro ame-post ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram kuhusu Hans van Pluijm kuwa kocha mkuu wa Singida United.

Ujumbe alioandika Muro Unasomeka:

“Babu Hans pumzika hapo kwa muda, wapiga dili wanaomdanganya muhindi wakishaondoka kule, tutarejea tu hata kwa mlango wa uani.”

 

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *