Home Nyingine Alichoandika Askofu Gwajima baada ya kuachiwa na Polisi

Alichoandika Askofu Gwajima baada ya kuachiwa na Polisi

0
0

Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ameachiwa na Polisi baada ya mahojiano yaliyodumu toka Alhamisi mchana kwenye kituo cha Polisi kati Dar es salaam kufuatia sakata la dawa za kulevya

Baada ya kuachiwa Gwajima aliandika yafuatayo kwenye mitandao yake ya kijamii:

“FREE AT LAST: Mungu awabariki wote mlioomba kwa ajili ya jambo hili, kesho nitakuwepo kwa ajili ya Ibada ya Jumapili, Kanisa la Ufufuo na Uzima Dar es Salaam. Mungu awabariki sana nawapenda nawaombea wote mlioomba kwaajili ya hili”

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *