Sambaza:

Mbunge Aeshi Hilaly, amesema ametishwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam “Makonda” na  hadi sasa yeye anaogopa kwenda Dar kwa usalama wake.

Akiongea bungeni Jumanne hii, mbunge huyo amesema,

Mimi Leo nilikuwa sitaki kusema, lakini ngoja tu niseme, nimetishwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, aliniambia nyie wabunge ni wanafiki na nitawashughulikia na nitaanza na wewe, mimi leo Dar naiogopa.

Niko tayari kuhojiwa hapa nimelisema hapa kwa usalama wangu. Alinitisha mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni pale Colosseum Hotel.

Sambaza:

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako