Tag: Windows

Ufahamu mfumo wa uendeshaji wa Windows kwenye kompyuta yako ! Pata vidokezo & mbinu, na ujue programu bora za Windows & programu zingine za kisasa

1 2 24 / 32 POSTS
Ikiwa unataka kutumia mpangilio wa keyboard wa Dvorak na unatumia Windows, unaweza kufuata hatua zilizopo hapa chini. Kidokezo: Hata kama unatumia ki ...
Utawala nchini Marekani unasema kuwa Korea Kaskazini ilihusika moja kwa moja na kirusi cha wannaCry kilichoadhiri hospitali, biashara na mabenki kote ...
Baada ya kuinstall Windows au kubadilisha "monitor" yako unaweza kukutana na tatizo la kuonyesha (display problems). Video zinaweza kuwa hazichezi kw ...
Windows hunakinisha na kusukuma sasisho moja kwa moja kwenye kompyuta yako ili kuhakikisha una programu za hivi karibuni na vipengele bora vya usalama ...
Kwanini  Defragmentation Inasaidia:  Vitu vyako vimehifadhiwa kwenye diski kuu (hard drive) katika namna ya mstari. Kwa lugha rahisi, hebu tuseme data ...
Ungependa kuona Command Prompt inafutwa kabisa kwenye Windows baada ya kuwepo kwa zaidi ya miaka 30 sasa, lakini haipo kama unavyotaka, na kuna sababu ...
Kwa nini unahitaji kugawa partition mpya katika Windows? Diski kuu "Hard disk drive (HDD)" inaweza kugawanywa katika sehemu (partition) nyingi tofaut ...
Wakati mwingine kugawa partition kwenye kompyuta kwa kutumia njia ya kawaida inaweza kushindikana kutokana na aina ya disk unayotumia au mfumo wa uend ...
Ikiwa unahitaji kufikia faili fulani kutoka kwenye DOS mode au Windows 9X, unatakiwa kutumia mfumo wa faili wa FAT32. FAT32 ni mfumo wa faili wa zaman ...
Linux ni mfumo wa uendeshaji kompyuta ambao hupatikana bure kabisa na katika ladha tofauti zinazofahamika kama ditros, kati ya distro maarufu sana dun ...
Umesahau password yako kwenye kompyuta na unajiuliza jinsi gani unaweza kuibadilisha? Kabla ya kutafuta njia za kubadilisha neno la siri la Windows 10 ...
Wakati Windows 10 imekuwa OS yenye watumiaji wengi zaidi kwa muda mrefu, miezi michache iliyopita imeonyesha Windows 7 polepole inazidi kutawala. Lich ...
Kuhamia kwenye Windows 10 huleta vipengele vipya kwenye mfumo wa uendeshaji (operating system) wa Microsoft - baadhi ni muhimu zaidi kuliko vingine. W ...
Ingawa Windows inaweza kuwa imekata tamaa kwenye soko la simu, inaonekana kuwa na nafasi ya kupambana katika soko la "tablet" na wachambuzi wanatabiri ...
Ni dhahiri kwamba usalama ni muhimu sana tunapotumia kompyuta zetu au smartphone. Kwenye mtandao, utapata mafunzo mengi kuhusu hili, maandiko marefu n ...
Umewahi kuwa na shida na Windows? Je, umewahi kuchanganyikiwa na njia "ya kipekee" ya Microsoft ya kusimamia faragha? Umewahi kujiuliza kwa nini Windo ...
Rurudi "My Computer Shortcut" kwenye Sehemu Yake Sahihi Ikiwa wewe ni mtumiaji wa Windows uliyehamia kwenye Windows 7, labda umeona kwamba icons ...
Hatua ya 1: Kuleta Gadget Window Mojawapo ya changamoto za kuhama kutoka kwenye Windows Vista hadi Windows 7 ni kujifunza sehemu ambazo vitu vimehami ...
Ikiwa kompyuta yako zamani ilikuwa inafanya kazi kwa haraka sasa imeshuka na umegundua hilo, angalia kwa karibu desktop yako. Je! Imejaa icons, scre ...
1.Fungua WordPad katika Windows 7 Kwa kutumia Search Jinsi ya Kutengeneza "New Document" katika WordPad kwa Windows 7 Ingawa mara nyingi hupuuzw ...
Hii ni njia nyingine ya mkato ya Windows ya keyboard (Windows keyboard shortcut)  kwajili ya mashabiki wa kuongeza uzalishaji popote pale. Njia za mka ...
1. Screen Resolution Settings kwenye Control Panel Screen resolution kwenye monitor yako itaamua ukubwa wa maandishi, picha, na icons kwenye skrini ...
1. Fungua Control Panel Kwenye Windows 7 Katika matukio mengi akaunti ya kwanza ya mtumiaji katika Windows 7 ni akaunti ya Msimamizi (Administrat ...
Swali: Ninahitaji kujua nini kuhusu UI ya Windows 8? Labda mabadiliko makubwa ambayo Microsoft imefanya kwenye mfumo wa uendeshaji (operating syste ...
1 2 24 / 32 POSTS