Tag: Windows Tips & Tricks

Windows imejaa sifa zilizofichwa ambazo zinaweza kurahisisha maisha yako. Soma juu ya vidokezo hivi na uwe mchawi wa Windows!

Ikiwa unataka kutumia mpangilio wa keyboard wa Dvorak na unatumia Windows, unaweza kufuata hatua zilizopo hapa chini. Kidokezo: Hata kama unatumia ki ...
Baada ya kuinstall Windows au kubadilisha "monitor" yako unaweza kukutana na tatizo la kuonyesha (display problems). Video zinaweza kuwa hazichezi kw ...
Kwanini  Defragmentation Inasaidia:  Vitu vyako vimehifadhiwa kwenye diski kuu (hard drive) katika namna ya mstari. Kwa lugha rahisi, hebu tuseme data ...
Rurudi "My Computer Shortcut" kwenye Sehemu Yake Sahihi Ikiwa wewe ni mtumiaji wa Windows uliyehamia kwenye Windows 7, labda umeona kwamba icons ...
Hatua ya 1: Kuleta Gadget Window Mojawapo ya changamoto za kuhama kutoka kwenye Windows Vista hadi Windows 7 ni kujifunza sehemu ambazo vitu vimehami ...
Ikiwa kompyuta yako zamani ilikuwa inafanya kazi kwa haraka sasa imeshuka na umegundua hilo, angalia kwa karibu desktop yako. Je! Imejaa icons, scre ...
1.Fungua WordPad katika Windows 7 Kwa kutumia Search Jinsi ya Kutengeneza "New Document" katika WordPad kwa Windows 7 Ingawa mara nyingi hupuuzw ...
Hii ni njia nyingine ya mkato ya Windows ya keyboard (Windows keyboard shortcut)  kwajili ya mashabiki wa kuongeza uzalishaji popote pale. Njia za mka ...
1. Screen Resolution Settings kwenye Control Panel Screen resolution kwenye monitor yako itaamua ukubwa wa maandishi, picha, na icons kwenye skrini ...
AutoReply ni rahisi kutumia, lakini ni autoresponder yenye nguvu. Inakosa vipengele vya juu vinavyohitajika kwa madhumuni ya masoko (marketing purpose ...
10 / 10 POSTS