Teknolojia

Tanzania

Wanafunzi wa Primary Tanga kuanza kusoma kwa kutumia Tablet

Katika sherehe zilizofanyika katika kijiji kimoja huko Mkoani Tanga, Mashirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP)…

Soma Zaidi »
Maujanja

Kufanya Livestreaming kutoka kwenye kompyuta yako kwenda kompyuta nyingine/ Simu kwa kutumia VLC

Kama unatazama video au unasikiliza audio kupitia vlc player basi unaweza fanya vifaa vya watu wengine kama simu au kompyuta…

Soma Zaidi »
Kompyuta

Je, Unapenda Laptop Aina Gani ?

Katika soko la laptop nchini Tanzania, Dell inaonekana kuwa maarufu sana – ndivyo ninavyofikiri ! Kuna aina nyingi za laptop…

Soma Zaidi »
Kompyuta

Faida za Kufanya Partition Kwenye Harddisk ya Kompyuta

Diski kuu “Hard disk drive (HDD)” inaweza kugawanywa katika sehemu (partition) nyingi tofauti. Sehemu zote zinafanya kazi tofauti. Tunaponunua kompyuta…

Soma Zaidi »
Intaneti

Fahamu Maana ya Mtandao wa Intaneti na Faida Zake

Intaneti inahusisha Ushirikiano wa Mitandao ya Kompyuta. Ni mchanganyiko mkubwa wa mamilioni ya kompyuta, vifaa vya mitandao (network devices) na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ukosefu wa Ajira Wasababisha Website ya Chuo Tanzania Kudukuliwa

Kumekuwa na matukio ya kuvamiwa kwa tovuti za taasisi mbalimbali na watu ambao wanasema wanataka ajira. Ikiwa ni muendelezo wa…

Soma Zaidi »
Vifaa vya kiteknolojia

Vifaa 6 vya Teknolojia Ambavyo Kila Mtu Anapaswa Kuwa Navyo

Unaweza kutumia pesa zako kununua kila aina ya vifaa vya ajabu, lengo ni kuwa tofauti. Lakini kuna vifaa vya teknolojia…

Soma Zaidi »
Maujanja

Majibu 9 ya maswali unayojiuliza kuhusu Teknolojia ya sasa

Kila siku unavyotumia vifaa vya teknolojia matatizo mbalimbali hujitokeza na kukuacha na maswali mengi kichwani, miongoni mwa maswali hayo ni…

Soma Zaidi »
Maujanja

Jinsi ya kuchagua rangi ya Website au Logo

Kabla ya kuanza utengenezaji wa Website, Logo au zana vitakavyotumika kwa ajili ya biashara, ni muhimu ukaelewa na kuchagua rangi…

Soma Zaidi »
Kompyuta

Jinsi ya Kuongeza Nafasi Kwenye Kompyuta

Watumiaji wengi wa Kompyuta wamekuwa na hamu ya kuongeza nafasi kwenye kompyuta zao na vile vile kuweka nyaraka na taarifa…

Soma Zaidi »
Elimu

Orodha ya Maneno ya Teknolojia na Tafsiri zake kwa Kiswahili

Teknolojia ya habari na mawasiliano inazidi kutawala maisha yetu ya kila siku na hii inafanya watu wengi wapende kutumia vifaa…

Soma Zaidi »
Elimu

Siemens kunufaisha vyuo vikuu Tanzania kwa maendeleo ya ujuzi wa digitali

Kampuni ya teknolojia ya kimataifa, Siemens imetangaza utoaji wa vifaa vinavyohusiana na industrial automation ambavyo vinalenga kuwezesha uhandisi jumuishi kwa…

Soma Zaidi »
Twitter

Sasa unaweza kutumia herufi 280 kuandika ujumbe kwenye Twitter badala ya 140

Twitter imetangaza kwamba imeanza kuwafungulia watu wanaoutumia mtandao huo wa kijamii uwezo wa kuandika ujumbe kwa kutumia tarakimu 280 badala…

Soma Zaidi »
Habari za Teknolojia

Rais asema udikteta wake ni wa kwenye mitandao ya kijamii tu

Rais Faure Gnassingbe amesikitishwa na jinsi mitandao ya kijamii inavyotumika kumchora kama mtu mbaya katika kipindi ambacho maelfu ya wafuasi…

Soma Zaidi »
Elimu

Je, wanawake wanapuuzwa katika mazingira ya teknolojia ya Tanzania?

Miaka michache iliyopita katika mji wa Mbeya Mjini, nilikutana na Neema, msichana mwenye umri wa miaka 18. Neema alinishirikisha jinsi…

Soma Zaidi »
Apps

Facebook yanunua app maarufu kwa vijana “tbh”

Kampuni ya Facebook imenunua programu tumishi inayowalenga vijana wa chini ya miaka 19 na kuwahimiza wawe na wema wanapohusiana. App…

Soma Zaidi »
Sayansi

Kazi 7 Ambazo Zimechukuliwa na Teknolojia. Miaka 10 Ijayo Binadamu Ataishije?

Kadri miaka inavyozidi kwenda mbele, neno teknolojia linazidi kutawala ulimwengu hii imeonekana wazi kabisa. Kuna sekta chache sana katika ulimwengu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Jinsi ya kuhakiki Bima ya gari na pikipiki kwa njia ya simu ya mkononi

Mamlaka ya usimamizi wa Bima nchini(TIRA)imezindua mfumo wa uhakiki wa Bima kwanjia ya simu za mkononi kanda ya Kaskazini ambapo…

Soma Zaidi »
Serikali

KAMPENI YA TCRA KUONGEZA UFAHAMU KUHUSU MATUMIZI SAHIHI NA SALAMA YA MITANDAO

Kitengo cha dharura cha kuitikia matukio ya usalama kwenye mitandao nchini (Tanzania Computer Emergency Response Team- TZ-CERT) kimepewa jukumu la…

Soma Zaidi »