Tehama

Tanzania

Wanafunzi wa Primary Tanga kuanza kusoma kwa kutumia Tablet

Katika sherehe zilizofanyika katika kijiji kimoja huko Mkoani Tanga, Mashirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP)…

Soma Zaidi »
Mawasiliano ya simu

TAARIFA YA MKUTANO JUU YA MAPENDEKEZO YA VIWANGO VYA GHARAMA ZA MAINGILIANO YA MITANDAO YA SIMU NCHINI.

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inawakaribisha wadau wote wa sekta ya Mawasiliano nchini na wananchi kwa ujumla katika mkutano wa…

Soma Zaidi »
Serikali

Mwongozo wa matumizi bora, sahihi na salama ya vifaa na mifumo ya TEHAMA serikalini

Serikali kupitia Waraka wa Utumishi Na. 5 wa Mwaka 2009 ilitoa maelekezo kuhusu matumizi bora na salama ya vifaa na…

Soma Zaidi »
Intaneti

Fahamu Maana ya Mtandao wa Intaneti na Faida Zake

Intaneti inahusisha Ushirikiano wa Mitandao ya Kompyuta. Ni mchanganyiko mkubwa wa mamilioni ya kompyuta, vifaa vya mitandao (network devices) na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ukosefu wa Ajira Wasababisha Website ya Chuo Tanzania Kudukuliwa

Kumekuwa na matukio ya kuvamiwa kwa tovuti za taasisi mbalimbali na watu ambao wanasema wanataka ajira. Ikiwa ni muendelezo wa…

Soma Zaidi »
Maujanja

Majibu 9 ya maswali unayojiuliza kuhusu Teknolojia ya sasa

Kila siku unavyotumia vifaa vya teknolojia matatizo mbalimbali hujitokeza na kukuacha na maswali mengi kichwani, miongoni mwa maswali hayo ni…

Soma Zaidi »
Maujanja

Jinsi ya kuchagua rangi ya Website au Logo

Kabla ya kuanza utengenezaji wa Website, Logo au zana vitakavyotumika kwa ajili ya biashara, ni muhimu ukaelewa na kuchagua rangi…

Soma Zaidi »
Intaneti

Kampuni ya mawasiliano ya Zantel kuigeuza Tanzania kuwa kitovu cha Tehama

Kampuni ya mawasiliano ya Zantel inasema inajipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) ukanda wa…

Soma Zaidi »
Maujanja

Elewa mambo 5 muhimu kuhusu betri ya simu na Kuchaji Simu

Tangu ulipoanza kutumia simu kuna mengi sana unaweza ukawa ushasikia kuhusu betri ya simu na njia nzuri za kuchaji simu…

Soma Zaidi »
Maujanja

Je kuna madhara ya kuacha simu/laptop kwenye charge kwa muda mrefu

Mara kwa mara nimekuwa nikikutana na swali hili kutoka kwa wadau wakitaka kujua kama kuna madhara ya kuacha simu au…

Soma Zaidi »
Biashara

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel yatoa mafunzo ya TEHAMA kwa walimu

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa kushirikiana na Atamizi ya Teknohama ya Dar es Salaam (DTBi) imeanza kutoa…

Soma Zaidi »
Habari za Teknolojia

Serikali kutoa mafunzo kwa walimu kutumia kompyuta

Serikali imeanza kutoa mafunzo kwa walimu nchini jinsi ya kutumia kompyuta na kutatua matatizo madogo baada ya mafundi kutumia mwanya…

Soma Zaidi »
Elimu

Tigo imeboresha mafunzo ya Tehama Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, imetoa msaada wa kompyuta 47 zenye thamani ya Sh. milioni 71 kwa Chuo…

Soma Zaidi »