Samsung

Habari za Teknolojia

Bilionea wa Samsung Lee Jae-yong afungwa jela miaka mitano juu ya rushwa

Mahakama nchini Korea Kusini imemhukumu bilionea anayetarajiwa kurithi kampuni ya Samsung Lee Jae-yong kifungo cha miaka mitano jela kwa makosa…

Soma Zaidi »
Simu

Samsung wazindua toleo jipya la Galaxy Note 8

Kampuni ya simu za mkononi ya Samsung, imezindua simu yake mpya ya Galaxy Note 8, ambayo ni ya kisasa zaidi…

Soma Zaidi »
Maujanja

Jinsi ya Kuweka na Kutumia App ya “Secure Folder” kwenye Samsung

Nimepata barua pepe kutoka kwa mdau wa mediahuru akiomba  nimwelekeze njia za kutumia vipengele vya folda la Siri – suluhisho…

Soma Zaidi »
Simu

Samsung Wanataka kuifanya Galaxy Note kuwa “Gr3at Again”.

Ndio, Gr3at! Kwa mujibu wa Evan Blass, “Samsung codename” kwajili ya Galaxy Note 8 ni “Samsung Gr3at.” Na hii imefanya…

Soma Zaidi »
Maujanja

Jinsi ya kutumia Samsung Galaxy S8 & S8 Plus Kwenye Kompyuta yako

Baada ya simu mpya ya Samsung Galaxy S8 kutoka wengi wameonekana kupendezwa na muundo pamoja na uwezo wa simu hiyo…

Soma Zaidi »
Simu

Vitu Vitano (5) vizuri vya kitofauti vinavyopatikana kwenye simu za Samsung Galaxy S8 na S8 Plus

Samsung wametambulisha rasmi simu mpya ya Samsung Galaxy S8 na S8 Plus. Katika ubunifu na utengenezaji wa Samsung Galaxy S8…

Soma Zaidi »
Simu

Samsung Galaxy S8 bei, Sifa zake na Uchambuzi wa Uhakika Tanzania 2017

Apple ya Google ni Galaxy Series. Kila mwaka, Samsung wanatoa simu mpya kuendeleza mfululizo huo, simu ambazo mara nyingi zinafanya…

Soma Zaidi »
Download

Sasa Unaweza Install Samsung Browser Kwenye Simu Isiyo Ya Samsung

Samsung wana browser nzuri, kubaliana na hilo! Samsung browser, kwa mtazamo wangu, ni moja kati ya “browsers” za Android bora…

Soma Zaidi »
Kompyuta

Notebook 9 Pro Laptop Ya Kwanza Kutoka Samsung Inayokuja na S-Pen.

Jana, Samsung walizindua “Notebook 9 Pro” komputa ndogo ikiwa na Windows 10. Ni ajabu, licha ya kuwa na lebo “Pro”,…

Soma Zaidi »