Tag: Google

1 2 24 / 34 POSTS
YouTube hivi karibuni imezidi kupambana kwa nguvu zote dhidi ya video zisizofaa na kushughulikia channels na video zinazo kiuka maadili. Mkuu wa YouTu ...
Ukitafuta kitu kupitia tovuti maarufu ya Google siku ya leo bila shaka utaona kuna tofauti wa muonekano wa ukurasa wake. Tofauti hiyo utakayoiona ni ...
Wawakilishi wa mitandao mikubwa duniani ya Google, Facebook na Twitter wanatoa ushahidi mbele ya bunge la Seneta wa Marekani ili kuthibitisha kama Uru ...
Hii ni wiki mbaya kwa Google, kutokana na simu mpya za google Pixel. Baada ya kushughulikia matatizo ya skrini yaliyotokea kwenye PIxel XL, suala jin ...
Mjadala kuhusu mfumo gani ni bora wa uendeshaji (operating system) kati ya mfumo wa uendeshaji wa iOS na Android ni mjadala ambao huenda kamwe hautahi ...
Facebook, Google, Microsoft, Twitter na makampuni mengine ya teknolojia wanajiunga na Anti-Defamation League (ADL). Makampuni hayo na ADL wataanz ...
Sijajua ni jinsia gani watapenda zaidi update hii mpya, lakini Google imeongeza sauti ya kiume kwenye Google assistant. Kwa sasa, unaweza kucha ...
Google leo imetangaza kuwa imezindua paneli za ujuzi wa afya nchini Tanzania (health knowledge panels in Tanzania). Paneli za ujuzi wa afya zinaonekan ...
Ok, Google: Google imeongeza kipengele kidogo lakini kizuri kwenye Google assistant- uwezo wa kutuma ujumbe wa sauti kwenye Whatsapp kwa kutumia am ...
Kampuni ya Google ambayo ndio watengenezaji wa simu za Pixel hivi karibuni imepata pigo kwa kuvuja kwa picha za simu za pixel 2 ambazo zinasemekana nd ...
Google imesaini makubaliano na HTC ambayo yataleta talanta na ubunifu wa HTC kwenye kampuni hiyo kubwa ya kutafuta vitu mtandaoni. HTC itapokea ...
Google Alphabet Inc inakaribia kununua kitengo cha kuunda simu cha Taiwan HTC Corp., kwa mujibu wa mtu anayejua hali hiyo, hizi ni jitihada za kuimari ...
Kutoka kwenye kutafuta habari na taarifa, ili kupata majibu ya maswali rahisi, Google imekuwa mahali pa kwenda kwa mabilioni ya watu kote ulimwenguni. ...
Akaunti ya Google bila shaka ni moja ya akaunti muhimu zaidi ambayo watu wanaitumia kwenye mtandao siku hizi. Siyo hivyo tu, ni ngumu pia. Google k ...
Tazama hapa takwimu za soko la kimataifa la injini za utafutaji (search engine) zilizopangwa kwa majukwaa (platforms) mnamo Februari 2017. Ukweli ...
Kuvunja au kupoteza simu yako au tablet kunaboa. Lakini kitu kinachoboa zaidi ni kupoteza data zote za thamani kwenye kifaa chako. Kuwa smart n ...
Google inaonyesha kuwa na app kwajili ya kazi zote muhimu za simu za Android, kwanzia "Keep kwajili ya kuchukua note, Pixel launcher na hata app ya ke ...
Unakumbuka unapojaribu kuandika kitu katika sehemu ya utafutaji ya Google na tayari inakuonyesha matokeo ya utafutaji ya nini inadhani unataka kuandik ...
Google inafanya jaribo la video kujicheza zenyewe kwenye matokeo yake ya utafutaji (search results), kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa hivi karibuni. ...
Mkuu wa idara ya muziki wa YouTube, Lyor Cohen, amesema kuwa Google inaweza kuunganisha huduma yake ya "Play Music" na YouTube Red, kwa mujibu wa The ...
Mwanzo tulisikia taarifa kuwa Google Daydream VR itasupport kikamilifu simu za Samsung Galaxy S8. Sasa mkurugenzi mtendaji wa Google, Sundar Picha ...
Hatujui kama kuna watu wengi ambao wataikumbuka Adobe Flash. Kwa sababu HTML ina kasi, salama zaidi, na rahisi kuiboresha. Flash haina umaarufu ...
Wiki chache zilizopita, Google waliongeza kipengele cha Smart Reply kwenye Gmail ambacho kinakuwezesha kujibu barua pepe zako kwa kutumia moja kati ya ...
Google inaongeza mfumo wa ulinzi na usalama ili kusaidia kupunguza hatari kutoka kwenye App/programu ambazo hazijathibitishwa. Sasa, skrini mpya ya ...
1 2 24 / 34 POSTS