Biashara mtandaoni

Biashara

Kampuni ya Amazon sasa ina ukubwa sawa na nchi ndogo

Wafanyakazi wa Amazon sasa ni wengi zaidi kuliko idadi ya watu kwenye baadhi ya nchi ndogo. Siku ya Alhamisi, kampuni…

Soma Zaidi »
Biashara

Facebook kuonyesha magari yanayouzwa na wafanyabiashara wa magari (FB)

Facebook inaongeza orodha ya magari (car listings) kutoka kwa wafanyabiashara wa magari kwenye tab yake ya Marketplace. Hii ni hatua…

Soma Zaidi »
Biashara

Wakina dada sasa mnaweza kununua Mikoba ya Kisasa Ebay mtandaoni kwa usalama zaidi

eBay imezindua huduma mpya ya Uthibitisho (Authenticate service), ambayo inathibitisha, inabainisha, na kuuza mikoba ya kisasa zaidi kwa niaba ya…

Soma Zaidi »
Biashara

Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Paypal nchini Tanzania

Mediahuru imepokea barua pepe kutoka kwa wanachama wanataka kujua kama PayPal iko Tanzania na jinsi ya kujiunga na akaunti ya…

Soma Zaidi »
Biashara

Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi Mtandaoni Ebay & Amazon na Kupokea Mzigo Kwa Tanzania

Ukuwaji wa sayansi na teknolojia imerahisisha mambo mengi katika jamii zetu na kuweza kutuletea ufanisi wa hali ya juu katika…

Soma Zaidi »
Biashara

Maana ya biashara kwa njia ya intaneti (E-Commerce)

Je, umekuwa ukijiuliza nini maana halisi ya kufanya biashara na kupata kipato kupitia intanet? Au pengine ulikuwa ukijiuliza maswali mengi…

Soma Zaidi »
Biashara

Biashara ya mtandao inafanyikaje? Malipo na Changamoto za usafirishaji bidhaa

Umekaa nyumbani unataka kununua bidhaa zako lakini hujisikii kwenda duka lolote la jirani au ‘supermarket’. Usiwaze, mambo siyo kama zamani…

Soma Zaidi »
Biashara

Maduka ya mtandaoni nchini Tanzania unayoweza Kununua Vitu online

Hii ni orodha ya maduka ya mtandaoni (online stores) yanayoongoza nchini Tanzania. Katika maduka haya ya mtandaoni unaweza kuagiza bidhaa…

Soma Zaidi »
Biashara

Fortumo sasa imeingia nchini Algeria, Ghana na Tanzania

Kampuni ya malipo ya simu Fortumo imetangaza kwamba imeongeza huduma zake za kulipa huduma kwa masoko matatu mapya ya Afrika.…

Soma Zaidi »
Biashara

AkiliPay ni Jukwaa la Malipo ya Digital Linaloboresha na Kukuza Uchumi

AkiliPay, iliyoanzishwa na Juma Kapaya ni kampuni ya FinTech iliyoko Dar es Salaam-Tanzania, iliyoanzishwa kwa maono ya kusaidia maendeleo ya…

Soma Zaidi »
Biashara

AcuteInvoice Inataka Kukusaidia Kuandaa Ankara Zako Za Malipo

Ikiwa una mauzo ya juu sana, kuna kila uwezekano wa kuwa hauwezi kufuatilia malipo na bila shaka kama biashara yako…

Soma Zaidi »
Biashara

Jack Ma mmiliki wa biashara ya mtandaoni ya Ali Baba, anasema anahamu kuwekeza nchini #Kenya.

Soma Zaidi »
Biashara

TTCL Pesa: Huduma mpya ya kutuma na kupokea fedha kutoka TTCL

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amezindua huduma mpya ya fedha mtandao…

Soma Zaidi »
Biashara

Biashara mtandaoni yaendelea kushamiri

Watanzania wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kununua na kuuza bidhaa, ili kupata unafuu wa bei na kuokoa muda wa kwenda…

Soma Zaidi »
Biashara

TCCIA yazindua tovuti ya kufanyia biashara mtandaoni

Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA), imefanya uzinduzi wa tovuti ambayo itawawezesha wafanya biashara nchini kufanya biashara kwa…

Soma Zaidi »
Biashara

MAVAZI STORE: Jiunge na biashara ya mavazi mtandaoni.

KAMPUNI ya ConnectMoja Technologies  Wamezindua tovuti mpya iitwayo Mavazi Store (www.mavazi.co.tz) ambayo inajumuisha Mkusanyiko wa maduka mbalimbali ya mavazi ya…

Soma Zaidi »
Biashara

ZoomTanzania yaboresha soko la biashara mtandaoni

KATIKA kuongeza kasi ya kuwaunganisha wauzaji na wanunuzi mbalimbali kwa ufanisi zaidi na kukuza soko nchini, ZoomTanzania imezindua tovuti mpya…

Soma Zaidi »