Tag: Apple

Kampuni ya Apple imekiri wasiwasi uliokuwa na wamiliki wengi wa simu ya iPhone kwa kufichua kwamba imekuwa ikizipunguza kasi baadhi ya simu za zamani ...
Apple inakaribia kununua app ya kutambua muziki ya Shazam kwa dola za kimarekani $ 400,000,000, chanzo cha karibu na kampuni hiyo kimeliambia jarida l ...
Mjadala kuhusu mfumo gani ni bora wa uendeshaji (operating system) kati ya mfumo wa uendeshaji wa iOS na Android ni mjadala ambao huenda kamwe hautahi ...
Apple imesasisha (update) app yake ya muziki ya Android baada ya uzinduzi wa iOS 11. Toleo jipya la Apple Music kwajili ya Android linaruhusu ufany ...
Apple imetoa iOS 11 kwa umma. Toleo la hivi karibuni la mfumo wa uendeshaji (operating system) limewekwa vipengele vingi vipya kwajili ya simu za A ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Apple Tim Cook amesema simu ya iPhone X ni biashara kubwa. Cook alitoa maoni hayo wakati wa mahojiano ya kipindi cha Good Morni ...
Kampuni ya Apple imezindua simu mpya aina ya iPhone X ambayo hutumia utambulisho wa uso wako badala ya kidole kufunguka. Apple imesema kuwa simu hiyo ...
Apps zilizotengenezwa na makampuni ya kigeni kuwasaidia watumiaji wa intaneti nchini China kutumia mitandao iliyofungiwa na nchi hiyo zimefutwa kwenye ...
Emoji mpya zipo njiani leo tarehe  17/07/2017 ni siku ya Emoji Duniani. Je, unatumia bidhaa za Apple? Je, unapenda emoji? Unataka kupata emoji nyin ...
Tim Cook, CEO wa Apple hakuweza kujizuia mwenyewe wakati anazungumza kwenye MIT Commencement, zaidi ya kuzungumzia historia ya Apple na uzoefu wake na ...
Apple wametangaza kompyuta mpya, iMac Pro katika mkutano wake wa 'WWDC17' uliofanyika hivi karibuni jijini San Jose, California. Bei ya kompyuta hii m ...
Kampuni moja ya kiteknolojia kutoka Korea Kaskazini—Myohhang— wamezindua "Tablet" mpya ambayo imepewa jina la iPad ambayo ni chapa maarufu ya kampuni ...
12 / 12 POSTS