Tag: Android

1 2 24 / 28 POSTS
Moja ya changamoto ambayo watumiaji wa android wanapaswa kuishughulikia ni kupunguza matumizi ya data kwenye simu zao za mkononi kuwa katika  kiwango ...
Infinix Note 4 Pro ni toleo la premium la Infinix Note 4. Kitu kipya zaidi kwenye simu hii ni kuwa imeongeza uwezo wa betri, ambapo itapelekea maisha ...
Umewahi kutana na neno ‘Error 505’ kwenye Google Play Store na ikasababisha ukashindwa kupakua apps kutoka Google Play Store ? Tatizo la Google Pla ...
Ikiwa hupendezewi na mwenendo wa simu yako, unalalamika kila dakika simu inachukua zaidi ya dakika 10 kufungua app, ni muda wa kufanya factory reset. ...
Leo, nitakuonyesha njia 6 zilizothibitishwa za kufanya simu yako ya Android iwe na kasi zaidi. Angalia njia 6 za kuongeza kasi ya simu yako ya Andro ...
Tunatumia simu za mkononi kwa vitu vingi katika maisha yetu ya kitaaluma na ya kibinafsi. Kwa hiyo, tunapaswa kujaribu kuhakikisha zinadumu kwa muda m ...
Mjadala kuhusu mfumo gani ni bora wa uendeshaji (operating system) kati ya mfumo wa uendeshaji wa iOS na Android ni mjadala ambao huenda kamwe hautahi ...
Ingawa Windows inaweza kuwa imekata tamaa kwenye soko la simu, inaonekana kuwa na nafasi ya kupambana katika soko la "tablet" na wachambuzi wanatabiri ...
Takwimu za hivi karibuni kutoka NetMarketShare zinaonyesha kwamba Windows 7 bado ni mfumo maarufu zaidi wa uendeshaji (operating system) kwenye kompyu ...
Teknolojia hubadilika mara kwa mara na kila siku kuna mambo mapya yanayovumbuliwa na mitindo pia kubadilika. Hapa, kuna makala tano kuhusu teknolojia ...
Kila mtu anapenda kutazama video kwenye YouTube ni huduma ya bure ya kuangalia video zisizo na ukomo mtandaoni. Lakini ikiwa huna kasi ya Internet ya ...
Watumiaji wengi wa Android wanapenda kuwa karibu na app zote mpya za Android na games zinazo zinduziliwa kwenye soko la Android (Google Play). Lakini, ...
Una Kompyuta, Una Smartphone yenye Android OS na huwa unapata tabu kutumia simu yako wakati ukiwa busy na Kompyuta? leo hii nitawaonyesha namna nyingi ...
Wakati mwingine napenda kutumia njia za kitofauti katika matumizi yangu ya vifaa na programu za Android. Kama ilivyo desturi yangu ya kuchunguza vitu ...
Kwa bahati mbaya unaweza kufuta taarifa zako muhimu kama vile picha au hata video na ukashindwa kuelewa ufanye nini kurudisha data zako, USIKASIRIKE s ...
TEKNOLOJIA inazidi kuchukua nafasi kwenye maisha yetu, hii inatokana na kasi kubwa ya uvumbuzi unaoendelea kufanywa na wataalamu kila iitwapo leo. ...
Wote tunajua ulinzi kwenye simu yako ni kitu cha msingi sana, lakini kadri siku zinavyoenda ndivyo inavyo zidi kuwa ngumu zaidi kulinda simu yako hii ...
Kuvunja au kupoteza simu yako au tablet kunaboa. Lakini kitu kinachoboa zaidi ni kupoteza data zote za thamani kwenye kifaa chako. Kuwa smart n ...
Microsoft imetangaza Windows 10 Insider Preview mpya, ambayo inakuwezesha kuunganisha smartphone yako ya Android - na hivi karibuni iPhone yako - kwen ...
Nokia na HMD Global wametoa vifaa vichache vya Android hadi sasa, lakini bado hatujaona simu yenye uwezo wa hali juu kutoka kwenye listi ya simu za ka ...
Mwanzo tulisikia taarifa kuwa Google Daydream VR itasupport kikamilifu simu za Samsung Galaxy S8. Sasa mkurugenzi mtendaji wa Google, Sundar Picha ...
HTC 10 bado inaendelea kufanya vizuri, lakini hivi karibuni limetokea tatizo kwenye keyboard ya simu hiyo. Tatizo linasababisha kuonekana kwa matangaz ...
Kama ilivyovyotarajiwa, Motorola wamepiga hatua nyingine leo hii kwa kutangaza rasmi mwanachama mpya wa smartphone kutoka kwenye kampuni hiyo: Moto Z2 ...
Kutokana na kiasi kikubwa cha taarifa kinachokusanywa kutoka kwetu siku hizi, ni sahihi kusema kuwa suala la faragha linachukuliwa kama jambo kubwa na ...
1 2 24 / 28 POSTS