Home Nyingine Utambulisho wa Mbwana Samatta KRC Genk ya Ubelgiji(+Picha)

Utambulisho wa Mbwana Samatta KRC Genk ya Ubelgiji(+Picha)

0
0


Baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya mmiliki wa TP Mazembe Moise Katumbi na Mbwana Samatta kuhusu dau la usajili ili ajiunge na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, January 29 ndio ilikuwa mwisho wa ubishi rasmi Mbwana Samatta katua katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji


Samatta kajiunga na klabu hiyo na kutambulishwa mbele ya waandishi wa habari leo January 29, dili hilo limekamilika ikiwa ni wiki moja imepita toka akubaliane na mmiliki wa TP Mazembe Moise Katumbi aliyekuwa anataka Mbwana Samatta aende akacheze klabu ya FC Nantes ya Ufaransa, maamuzi ambayo Katumbi aliyafanya baada ya kutoridhishwa na dau la awali lililokuwa limetolewa na KRC Genk.

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *