Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu, Estella Westrick aliyepata nafasi ya kusalimia na Papa wa kanisa katoliki siku ya Jumatano anazidi kupata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii baada ya kumvua Papa kofia yake.

Video iliyosambaa mitandaoni inaonyesha msaidizi wa Vatican akimwinua Estella ili akukutane na Papa. Wakati Papa anambusu Estella, yeye akamvua kofia yake. Tazama video hapa chini.

Sambaza:

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako