[Video] Jux – Umenikamata
Msanii Jux ameachia video mpya wimbo unaitwa ‘umenikamata‘ tazama hapa chini alafu toa comment yako. Read more
Marekani yajenga mtambo wa kuzuia makombora yanayoilenga Korea Kusini
Korea Kusini imesema wanajeshi wa Marekani wameanza kujenga mtambo wa kisasa wa kuzuia makombora katika eneo moja kusini mwa nchi hiyo. Mtambo huo wa kujilinda dhidi ya makombora, ambao hufahamika kitaalamu kama THAAD, kwa Kiingereza Terminal High Altitude Area Defense, kutokana na wasiwasi wa tishio kutoka kwa Korea Kaskazini... Read more
Sakata la Bosi wa UN kufukuzwa latua bungeni, Serikali yatoa ufafanuzi
Sakata la kufukuzwa nchini kwa bosi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania, Awa Dabo, limetua bungeni. Mbunge wa Mbozi, Pascal Haonga (Chadema) akizungumza bungeni leo, aliitaka serikali kufafanua sababu za kumfukuza nchini Mkurugenzi Mkazi huyo wa UNDP Tanzania kwa kumpa saa 24. Hata hivyo, Mwenyekiti... Read more
Taarifa kuhusu Serikali kumfukuza Mkurugenzi wa UNDP, Bi. Awa Dabo
Serikali imemwondoa nchini Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Awa Dabo. Mkurugenzi huyo raia wa Gambia, aliyeletwa nchini na Umoja wa Mataifa (UN) Agosti 2015, aliondolewa wiki iliyopita ndani ya saa 24 kwa agizo la Serikali, huku akiwa chini ya ulinzi. Akizungumzia kuondolewa kwa... Read more
Alichoandika Nape Nnauye Kuhusu Yeye na CCM
Leo Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia tiketi ya CCM Nape Moses Nnauye ametumia ukurasa wake wa twitter kuandika ujumbe kuhusu CCM, lengo likiwa ni kuweka kumbukumbu sawa kwa watu kuhusu CCM. “Watu wengi wanaamini nimeisaidia sana CCM lakini ukweli ni kuwa CCM imenisaidia sana mimi kuliko... Read more
Leo ni siku ya Malaria duniani, harakati za chanjo mapambano yanaendelea
Leo ni siku ya Malaria duniani. Tanzania na nchi nyingine za Afrika zimeendelea kupamba na ugonjwa huu wakati chanjo yake ikiendelea kufanyiwa majaribio. Nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo, changa moto bado ni kubwa katika kuutokomeza ugonjwa huo kama ambavyo malengo ya shirika la afya duniani WHO lilivyo la... Read more
Bajeti ya upinzani !! Wamwachia ngariba afanye anavyotaka.
Mgogoro wa CUF na suala la uchaguzi wa Zanzibar jana viliibua mtafaruku bungeni baada ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kulazimishwa kuyaondoa maelezo yake kwenye hotuba yake kuhusu Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais. Waziri kivuli wa ofisi hiyo anayeshughulikia Muungano, Ally Salehe alisusa kusoma hotuba yake ya... Read more
Lugumi na ufisadi hakuna vifaa vilivyofungwa ila imelipwa mabilioni ya fedha
Ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa serikali imetaja kuna dalili za ufisadi wa kampuni ya Lugumi katika wizara ya mambo ya ndani kutokana na manunuzi ya ‘E-migration system’ kwa ajili ya idara ya uhamiaji. “Mzabuni, Lugumi Enterprisiesa Limited, aliwasilisha Makabrasha mawili tofauti ya zabuni yenye bei tofauti ya... Read more
Wavamizi Mkutano Wa Viongozi Wa CUF, Msajili Ataka Wachukuliwe Hatua
Baada ya tukio la watu wasiojulikana kuvamia mkutano wa viongozi wa CUF wilayani Kinondoni, kuwapiga na kuwatishia bastola, kabla ya mmoja wao kudhibitiwa na wananchi. Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi ametaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua za kisheria waliohusika katika vurugu hizo. Msajili, ni mmoja ya washtakiwa... Read more
Safaricom matatani nchini Kenya baada yakumbwa na matatizo ya mawasiliano
Kampuni kubwa ya mawasiliano nchini Kenya Safaricom imekumbwa na matatizo ya kiufundi ambayo yameathiri huduma zake za simu. Safaricom imesema hitilafu hiyo imeathiri huduma zake kote nchini humo. “Tunakabiliwa na tatizo la kuunganisha simu, data na huduma ya M-Pesa. Tatizo hili kwa sasa linaangaziwa. Samahani kwa usumbufu,” kampuni hiyo... Read more
Wafahamu Marais 10 wa Afrika waliofariki wakiwa madarakani
Wafahamu marais 10 waliofariki dunia wakiwa madarakani kutokana na sababu mbalimbali katika mataifa ya Afrika. 1) Michael Sata, rais wa Zambia Michael Sata ni kiongozi wa hivi karibuni aliyefariki madarakani akiwa na umri wa miaka 77 kwa maradhi ambayo hayakuwekwa wazi Oktoba 28 2014, nchini Uingereza. Baada ya uchaguzi... Read more
Rais Magufuli amteua Prof. Chibunda kuwa Makamu Mkuu chuo cha SUA
Rais John Pombe Magufuli amewasili Mkoani Dodoma, Amteua Prof Chibundu kuwa Makamu mkuu wa Chuo cha Sokoine cha Kilimo (SUA). Read more
Tujikumbushe Maproducer Wa Zamani, Wajue Maproducer Saba Wakali Kwenye Bongo Fleva
Mziki wa Hip hop, Rap na Bongofleva ulianza kunajisiwa around 2004 na kupoteza kabisa ladha ya ubunifu, vionjo, burudani na elimu kwa jamii. Aidha wapo waimbaji wa enzi hizo na wapo watayarishaji wa muziki (Producers) ambao ndio wameufikisha hapa muziki wetu. Wafuatao ni watayarishaji mahiri wa muziki waliopata kutokea... Read more
List Ya Michezo ya Wanyama Ambayo Inawezekana Hujawahi Kuisikia
Linapokuja suala la michezo inayowashirikisha wanyama, jambo linakuja akilini mwa watu wengi ni mbio za farasi ,mapambano ya kuku na nk . Hata hivyo, kama unahitaji msisimko zaidi katika maisha yako, sisi tupo hapa kuonyesha jinsi wanyama mbalimbali wanavyotumika kwenye michezo sehemu mbalimbali duniani. Nani anajua, pengine baada ya... Read more
Uteuzi wa Jokate Mwegelo waivuruga UVCCM
UTEUZI wa Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo kuwa Kaimu Katibu wa Uhamasishaji wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, unaonekana kutaka kuivuruga jumuiya hiyo. Mjadala mkubwa umeibuka kuhusu uteuzi huo, ambapo baadhi ya wanachama na viongozi wa juu wa jumuiya hiyo wamedai... Read more
Elimu bila malipo maana yake serikali imeshindwa elimu bure ?
“Serikali haikuwahi kusema kuwa itatoa Elimu bure kuanzia shule ya msingi Hadi kidato cha nne, wananchi walielewa vibaya. Serikali ilisema itatoa Elimu Bila Malipo na sio elimu bure.”-Waziri Simbachawene. Je kwa kauli ya msaidizi wa waziri wa TAMISEMI kuhusu elimu bure ina maana serikali imeshindwa elimu bure na sasa... Read more
Ufafanuzi wa TFDA kuhusu usalama wa mafuta ya Alizeti
Baada ya kuripotiwa taarifa kuwa kuna utafiti uliofanywa na kuonesha kuwa mafuta ya alizeti ni hatari kutokana na kusababisha tatizo la Kansa kwa watumiaji. Leo April 24, 2017 Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA imetoa ufafanuzi juu ya utafiti huo na kueleza kuwa mafuta hayo ni salama kwa watumiaji... Read more
Taarifa ya Serikali kuhusu kushambuliwa kwa waandishi kwenye vurugu za CUF
Watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Prof. Ibrahim Lipumba walivamia mkutano wa wafuasi wa Maalim Seif Sharif Hamad na kuwajeruhi wenzao pamoja na waandishi wa habari, Juzi April 22 2017. Leo Serikali imetoa taarifa kuhusu tukio hilo ambapo Mkurugenzi, Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan... Read more
Kauli ya Naibu Waziri Kigwangalla kuhusu perfume ya Diamond
Siku chache baada ya staa mwimbaji Diamond Platnumz kuzindua Perfume yake mpya “Chibu Perfume” , Naibu Waziri wa Afya, Hamis Kigwangalla ameandika ujumbe kuhusu perfume hiyo huku akimsifia Diamond kwa kufanya vitu vikubwa pamoja na kukiri kuwa anaupenda muziki wake. “Sikuwahi kuwa mshabiki wa msanii huyu kijana @diamondplatnumz, kama... Read more
N’Golo Kante atwaa tuzo ya PFA Uingereza, tazama takwimu zake msimu huu
Kiungo wa klabu ya Chelsea Ngolo Kante ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa chama cha wachezaji wa kulipwa nchini England PFA kwa msimu wa 2016-17. Kante amewapiku nyota wengine wa ligi hiyo Eden Hazard, Harry Kane, Romelu Lukaku, Zlatan Ibrahimovic na Alexis Sanchez waliokua wakiwani tuzo hiyo... Read more
Maneno ya Jerry Muro baada ya Haji Manara wa Simba kufungiwa na TFF
  Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara leo amefungiwa kujihusisha na soka nje na ndani ya mipaka ya nchi ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja. Hukumu hiyo imetolewa leo mchana na Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Nchini Tanzania (TFF) pia imemuamuru pia kulipa faini ya... Read more
Kagera yarudishiwa pointi tatu
Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imebatilisha uamuzi ya Kamati ya saa 72 kwa kuipa simba pointi tatu na kuzirudisha Kagera Sugar. Akitangaza uamuzi huo Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa amesema Kamati ya sheria imebaini mapungufu kadhaa katika maamuzi ya Kamati ya saa 72 kwa kwanza rufaa... Read more